Mohamed Meisum
Businessman
“Napenda jinsi mnavyo toa Huduma zenu, na jinsi mnavyo toa ushauri kwa kina kuhusu masuala ya Technology hatakama mtu hana uzoefu ataelewa tu. Thanks”
Dr. Kareem
farmer
“Huduma za PixelLinx zimebadilisha kabisa mtazamo wa biashara yangu kwenye mtandao. Tovuti yetu sasa inavutia zaidi na inafikia wateja wengi zaidi. Asante, PixelLinx!”
Emmanuel Wami
Engineer
“Timu ya PixelLinx ilikuwa makini na mahitaji yetu na ilitoa suluhisho la kipekee la utengenezaji wa Website yetu. Matokeo yake yalizidi matarajio yetu.”